- sajiliwa
- [Swahili Word] sajiliwa[English Word] be registered[Part of Speech] verb[Class] passive[Related Words] -sajili, -jisajilisha[Swahili Definition] kuandikishwa[English Definition] be signed up for something[Swahili Example] raia wa Kenya hawezi kupoteza uraia wake wa Kenya kwa sababu ya kusajiliwa kama raia wa nchi nyingine. [http://www.iedafrica.org/documents/Yawezekana16.pdf Simon Libafu][English Example] a citizen of Kenya can not lose his or her Kenyan citizenship because of being registered as a citizen of another country.------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.